I FOUND THIS MESSAGE VERY USEFUL
AND WORTH SHARING!
The qualifications that gave you a job are the same qualifications someone has, but doesn't have a job.......
*Be grateful.*
_The prayer God answered for you, is the same prayer others have been saying without success yet......._
*Be grateful.*
_The road you use safely on a daily basis is the same road many others died on......._
*Be grateful.*
_The place which you worship and God blessed you, is the same place other people worship in but their lives are still in shambles......._
*Be grateful.*
_The bed you used in the hospital, got healed and discharged, is the same bed many other people died on...._
*Be grateful.*
_The same rain that made your field produce good crops, is the same rain that destroyed someone's field...._
*Be grateful.*
_Be grateful because whatever you have is not by your power, your might, or your qualifications, but rather by the Grace of the Almighty God
Remember! He is the *Giver of everything* you have.
**_BE GRATEFUL_**
*Beautiful Message*.
A rich man looked through his window and saw a poor man picking something from his dustbin ... He said, Thank GOD I'm not poor.
The poor man looked around and saw a naked man misbehaving on the street ... He said, Thank GOD I'm not mad.
The mad man looked ahead and saw an ambulance carrying a patient ... He said, Thank GOD I'm not sick.
Then a sick person in hospital saw a trolley taking a dead body to the mortuary ... He said, Thank GOD I'm not dead.
Only a dead person cannot thank God.
Why don't you thank GOD today for all your blessings and for the gift of life ... for another beautiful day.
*What is LIFE*?
To understand life better, you have to go to 3 locations :
*1. Hospital*
*2. Prison*
*3. Cemetery*
At the Hospital, you will understand that nothing is more beautiful than HEALTH.
In the Prison, you'll see that FREEDOM is the most precious thing.
At the Cemetery, you will realize that LIFE is precious. The ground that we walk today will be our roof tomorrow.
Sad Truth* : We all come with *Nothing* and we will go with *Nothing* ... Let us, therefore, remain humble and be thankful & grateful to God at all times for everything.
Could you please share this with someone else, and let them know that God loves them ?
____________________
pokeaeli.blogspot.com ____________

Priest Mechzedek Pokeaeli
Ijumaa, 1 Juni 2018
Ijumaa, 27 Aprili 2018
KANTANTE DOMINO. MWIMBIENI BWANA WIMBO MPYA ZAB.98
Zab.98
Maneno ya kwanza ya zaburi hii, kwa lugha ya kilatini yanamaana ya Cantate "Mwimbieni" (O sing) mwendelezo wake Cantate Domino -"Mwimbieni Bwana"
****************
Hii ni Siku ya pekee imefika ambayo tibaitumia katika kukumbushwa wajibu wetu kama wanadamu Kumsifu Mungu na kumtukuza yenye Peke Yake kwa ukombozi wake kwetu.
Wana Wa Israel walipotoka uhamishoni walimtukuza Mungu na kukwa kumwimbia nyimbo kuu za sifa. Kwa vinubi, zeze na kinanda. Walimsifu kwa kutimiza ahadi yake ya ukombozi. 2Nya.36:22-23).
Ahadi ya Mungu aliyoisema kwenye neno lake juu ya kuwa uhamishoni na kukombolewa kurudi kwenye nchi yao ya ahadi imetimia na sasa wanamtukuza.
Kwenye kitabu cha Kutoka.15 tunaona namna Musa na wana waisrael walivyomsifu Mungu kwa jinsi alivyowatoa utumwani.
Isa. 42:16 ...ni mwendelezo Wa ahadi ambayo hata sasa tunaiona imetimia kwa Yesu Kristo. Kutufia msalabani na kufufuka kwaajili ya wokovu wetu.
Tunayobudi kumsifu Mungu kwa Upendo wake kwetu.
Wengine wanauliza nitawezaje kusifu wakati nipo kwenye shida na majonzi.
Mungu anasema anakaa juu ya sifa za watu wake. Hii inatupa uhakika kwamba katikati ya Sifa Mungu anashuka na kushughulika na mahitaji yetu. Wengine wagonjwa wengine wana dhiki kuu. Sio mpaka uwekewe mikono ila kupitia sifa na kumwabudu Mungu basi yeye Mungu,hushuka na kutuponya.
Kuanzia Leo badili mtazamo wako kuu ya kusifu kwamba ni wakati Wa furaha tu! LA wakati ule unapokuwa huwezi kabisa na upo katikati ya dhiki kuu, vifungo vimekuandama mawazo yamekuwa mengi, huoni njia, ukiomba Maneno yanayotoka ni ya kulaumu tu. Huo ndiyo wakati Wa kumwimbia Bwana wimbo mpya.
Wimbo mpya huleta matumaini ya Wokovu. Matumaini ya kuwa huru tena. Kama ulikuwa umeanguka unapata matumaini ya kuinuka na kusonga mbele. Kama ulikuwa firisika matumaini ya kuwa tajiri tena. Kama ulifukuzwa kazi unapata matumaini ya kurejea kazini tena, kama huna Mtoto unapata matumaini ya kupata watoto. Huna Mume/Mke, familia inaugomvi, watoto hakutii. Katikati ya kumsifu Bwana Unaona kuinuka na kuang'aa tena .
Hitimisho.
Paulo na sila wakamsifu Mungu hadi pingu zika katika. Na milango ya Gereza ikafunguka.
Nawe msifu Mungu sasa utapokea Majibu ya Mungu juu uhitaji ulio nao.
Amen!!
pokeaeli.blogspot.com
christiansforum1.blogspot.com

Jumatano, 14 Machi 2018
TUTUNZE UUMBAJI
TUTUNZE UUMBAJI
Mwanzo 1:24-25
π²π³π΄πΎπππ
Kwa harakaharaka KILA mmoja hakosi maana nzuri ya neno UUMBAJI.
Ila ukisoma mistari hiyo inaonyesha wazi kwamba vyote tunavyoviona; binadamu, wanyama, ndege, samaki, anga, jua, mwezi, nyota, milima ,mabonde, nk. Na vingine Vingi tusivyo viona vyote ni UUMBAJI._*
πΎ Watu wengi wanapokutana na neno =UUMBAJI= πΏπ³π΄Huangalia mazingira yanayowazunguka pasipo kukumbuka hata wao wenyewe ni sehemu ya UUMBAJI Wa Mungu.
=>Tunaamini ya kwamba kwa siku Sita Mungu aliumba vyote vinavyoonekana na visivyooneka. Na baada ya kumaliza Mungu akaona vyote kuwa ni #Vyema
πππππ΄πΊπππππππΏπ΄π²π³ππΎπΉπ
✅soma Mwa.1:25b
Mungu akaona yakuwa ni vyema
Mwa.1:31
"Mungu akaona KILA kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana..."
Swali ni kwamba kwanini sasaivi kuna chema na kibaya???!
ππ
ππ Embu tuendelee taratibu tutapata majibu..
"Wajibu Wa kwanza Wa Mwanadamu(Adamu&Hawa)"
Kutiisha,(kuitunza) na kutawala
✅ Soma MWA.1:28.
AHAA!! KUMBE
Mungu baada ya kuumba vyote na kuviona kuwa ni vyema alimkabidhi Mwanadamu wajibu Wa kuhakikisha uzuri Wa uumbaji haupotei.... Ohoo
Mwanadamu tokea hapo alikuwa responsible na KILA kinachoendelea kwenye UUMBAJI Wa Mungu.!!!
ππΈπ: Mwanadamu akawa mtawala, juu ya uumbaji.
"Maana ya mtawala ni kwamba hakuna kinachoweza kufanyika ndani ya himaya yake pasipo idhini yake. Yaani yeye kuridhia".
aha ndiyo maana hata kuwapa majina wanyama alifanya adamu na sio MTU mwingine
✅Soma Mwa.2:20b
π₯π΄ππΊππππ’ππππ¬π³ππKwasababu ya Mwanadamu Uumbaji ulibadilika. Wajibu Wa kwanza Wa Mwanadamu ni "Kuilima nchi" yaani kutiisha na kutawala.
ππππππ₯π☘πΏπ±π΄πππΎπΎππ³π²ππ΅π¦πΏπππ©ππ
Mf. Wa uumbaji na Mwanadamu ni huu Wa kijana mmoja aliyekuwa anapendwa sana na Baba yake.
πAlipomaliza kidato cha nne, hakufaulu na ndipo Baba yake akamnunulia Bodaboda (Pikipiki) akamwambia Pikipiki hii nimenunia kwa gharama yangu lakini nakupa mwanangu Bure. Itunze na uitawale hii ni yako kwaajili ya kujipatia kipato na ada ya kuendelea na chuo.
Pikipiki ilikuwa mpya ila baada ya muda kidogo kijana yule anairudisha Pikipiki nyumbani ikiwa mbovu. Na baba yake anamwuliza KULIKONI!???
Kijana huyo ndiye Mwanadamu.
Mwanadamu ameshindwa kuutunza uumbaji Ambao Mungu amewapa kama Zawadi Toka kwake.
πΉπΉπΉππΈπ·πΊ
Kumbe sio kwamba kupanda Maua au kupanda miti ndiyo kuitunza uumbaji la hasha. Ila kutenda yanayompendeza Mungu.
Kosa la Mwanadamu linakuwa pigo kwa viumbe wengine wote.
Kumbuka Misri. Ng'ombe, na viumbe wengine wote walipigwa kutokana na kugoma kwa farao kuwaruhusu Waisrael taifa la Mungu kwenda kumwabudu Mungu.
✅ soma Kut.12:12 (hukumu juu ya uumbaji wote Kyle Misri kutokana na dhambi ya farao/Mwanadamu) _"...nami nitawapiga wazaliwa Wa kwanza wote katika nchi ya Misri Wa Mwanadamu na Wa Mnyama, Nami jitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri"_
✅ Soma Law.18:20-23; 24-25, 27-28
π
Hapa tunaona jinsi dhambi ya zinaa inavyonajisi ardh.
Uasherati, utoaji mimba, na mahusiano ya jinsia moja nk.
Note.
JUU YA KUTUNZA. UUMBAJI Mungu hazungumzii kuhusu Hewa safi/angavu , maji safi ila anahitaji *MAISHA SAFI*
π Unapotenda dhambi unaunajisi uumbaji Wa Mungu.
π Nayo Nchi itakutapika kama wenyeji Wa kanaani
HITIMISHO.
KUTUZA UUMBAJI SIO TUU KUPANDA MITI,MAUA NK. ILA NI KUISHI MAISHA YANAYO MPENDEZA MUNGU. ISHI MAISHA MEMA NA YANAYOMPENDEZA MUNGU NAWE UTAPATA KIBALI MBELE ZA MUNGU NA KWENYE UUMBAJI WAKE. nawe utatawala na kuvitiisha vyote kama ilivyo mapenzi ya Mungu.
_Tafakari hii Imeandaliwa na Mtheologia Johnson Pokeaeli_
Fuatilia zaidi kwenye blog yangu

Alhamisi, 18 Januari 2018
Jumanne, 24 Januari 2017
MKRISTO AMKA TOKA USINGIZINI VOL..3
πΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊ
Huu ni mwendelezo wa somo letu hili linalomkumbusha Mkristo wajibu wake na nafasi yake katika kutimiza mapenzi ya Mungu kwa ulimwengu huu.
katika mwendelezo huu nitazungumzia kuhusu Mtazamo wa Mungu juu yako ewe mkristo, hasa nafasi yako katika ulimwengu huu.
➤Mkristo ni Balozi wa Ufalme wa Mungu katika Ulimwengu huu.
MKRISTO AMKA TOKA USINGIZINI
MKRISTO WEWE NI BALOZI WA UFALME WA MBINGUNI HUMU DUNIANI
Baba Mungu nakushukuru kwaajili ya huyu mpendwa wako anaye fuatilia masomo haya naomba yale yaliyo makusudi yako kwenye hili somo naomba yaweze kutimia juu yake. Tazama umetuweka sisi wanadamu hapa duniani ili tukutumikie wewe na ili tuliheshimu jina lako. pia umetuweka sisi wanadamu hapa Duniani ili kuvitiisha viumbe wote wa kila aina. Ee Mwenyezi Mungu mpe kila asomaye masomo haya uwezo wa kujitambua yeye ni nani na nafasi yake katika kutimiza yaliyo mapenzi yako kwa ulimwengu huu. AMEN
π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»Huu ni mwendelezo wa somo letu hili linalomkumbusha Mkristo wajibu wake na nafasi yake katika kutimiza mapenzi ya Mungu kwa ulimwengu huu.
katika mwendelezo huu nitazungumzia kuhusu Mtazamo wa Mungu juu yako ewe mkristo, hasa nafasi yako katika ulimwengu huu.
➤Mkristo ni Balozi wa Ufalme wa Mungu katika Ulimwengu huu.
Ni hakika kwamba Mkristo ni Balozi wa Ufalme wa Mungu humu duniani. Maana ya balozi ndiyo hii; Balozi ni mwakilishi wa nchi yake katika nchi nyingine ya ugenini. Neno "Balozi" kwa kingereza ni "Ambassador" lenye maana kama hiyo hiyo niliyoitoa ya balozi ambayo inasema 'ambasssdor is a minister of the highest rank sent to a foreign court to represent there his sovereign or country. Sometimes called ambassador-in-residence (http://wikitionary.org). Hivyo tunapozungumza kuhusu Mkristo wewe ni balozi wa Ufalme wa Mungu hapa Duniani tunamaanisha:
➽Mwakilishi wa Ufalme wa Mungu. (Representative of Kingdom of God)
➽ Mtu uliyeaminiwa na Mungu
➽ Mtu uliyepewa uwezo na Mungu wa kuweza kumwakilisha hapa Duniani
➽ Umepewa wajibu na Mungu unapaswa kuutimiza (Mt.10:8)
➽ Mtu mwenye sifa zote na vigezo vyote vya kuwa mfano wa Mungu (Mwa.1:27)
➽ Mungu anakutegemea sana katika kutenda mambo yake hapa Duniani
➽ Muda wako wa kuwepo hapa duniani umehesabiwa (Hutaishi milele katika ulimwengu huu hivyo tumia muda wako vizuri)
➽Wewe sio wa Ulimwengu huu bali ni wa Ufalme wa Mungu (Hivyo ishi ukitambua hapa sio kwenu, kwenu ni mbinguni. Dunia isikufanye ukasahau kwenu) Japo tunaishi ulimwenguni humu kwa namna ya kwimwili lakini una wito ulioitiwa kufanyana kwa muda maalumu, muda ukiisha utatoa hesabu.
➽ Unapaswa kutenda yale ambayo Mungu amekuagiza kuyatenda na sio kutenda mambo ya ulimwengu huu.
➽ Ishi ukitambua kwamba Mungu ndiye atakaye kulipa kwa yale yote utakayo yatenda na sio ulimwengu huu (matendo maovu na matendo mema yote yana malipo yake huko mbinguni. Mungu aliye mwajiri wako amekwisha kukupa)
➽Usitende jambo kwa kuwaangalia wanadamu wanasema nini bali Mungu anasema nini.
➽Tambua kwamba msaada juu ya kila unachokitenda haupatikani popote pale ila kwa Mungu pekee aliyekutuma.(usitafute msaada kwa wanadamu au kwa waganga au kwa miungu mingine)
➽Tambua kwamba mwajiri wako 'MUNGU' amekwisha kuandalia utaratibu mzima wa jinsi utakavyoish; chakula,malazi na makazi pia utaratibu wote wa maisha yako hapa duniani. Ndiyo maana anasema usisumukie kwamba utakula nini au utakunywa nini.
➽Tambua kwamba unapaswa kuwasiliana na Mwajiri wako kila wakati ili kumfahamisha kila kinachoendelea na njia pekee ya mawasiliano ni 'MAOMBI'
➽Tambua kwamba kuna mkataba ulioingia wewe na mwajiri wako, unapaswa uufate.
➽Tambua kuna mambo ambayo mwajiri wako amekwambia uyafuate pindi uwapo humu duniani na unapaswa ufuate (AMRI KUMI)
⧫Ni wakati wa kujitathimini kwamba upo wapi. je! umelala au umeamka? Je! upo kazini kuitenda kazi ya Bwana aliyokuitia hapa ulimwenguni au la?
⧫Katika chapisho linalokuja 'VOL....04' Tutaona uchambuzi zaidi wa Mkristo kuwa Balozi wa Mungu hapa ulimwenguni. hii ni sawa na utangulizi tuu wa somo litakalokuja karibu ujiunge nami katika kuliandaa kwa njia ya maombi ili Mungu aliwezeshe likawe na mafanikio makubwa kwa kila atakayesoma.ππππππππ
⭆Usiache kufuatilia masomo yaliyopita na masomo mbalimbali kwenye blog yangu hii.
⭆Share kwa wengine nao wapate kusoma na kufaidika kama wewe sasa.
⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲MUNGU AKUBARIKI SANA ⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲⇲
Mwandishi. Melchizedek Pokeaeli
➧ Unaweza kuyapata masomo mengine sehemu hizi zifuatazo
➢ christiansforum1.blogspot.com
Facebook: Joyful house in Jesus Christ
WhatsApp https://chat.whatsapp.com/CWsNX9vneY95rYMeuLNW9I
Twitter @johnsonpaulPAUL
Jumatano, 18 Januari 2017
WAKATI WA KUAMKA TOKA USINGIZINI ….Vol.02
πΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊ
Mpendwa nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo!!!
Fuatilia somo mwendelezo wa somo hili kwenye Blog hii hii http://pokeaeli.blogspot.com au pata masomo mengine mengi kupitia blog hii christiansforum1.blogspot.com
WAKATI WA KUAMKA TOKA
USINGIZINI ….Vol.02
MKRISTO
AMKA USINGIZINI SASA!!!!!
Ahsante Ee Yesu Kristo Kwa NEEMA yako juu ya kila ambaye ni
Mkristo anayesoma chapisho hili. Sehemu hii ya pili ya chapisho hili. Ee Baba
Mungu mjazie neema ya kudumu katika pendo lako na kuyatenda yale yote yaliyo
mapenzi yako. Ni kweli kwamba kuna wengine wengi ambao bado hawajakata shauri
la kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao lakini kupitia
wapendwa hawa wachache; maisha yao yakawe mfano kwa wengine yakawe na ushawishi
juu ya wengine ili wamkubali Yesu Kristo. Amen!!
π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»π»
Mpendwa nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo!!!
⭆Utangulizi
Mtu awapo usingizini maana yake ni kwamba hana anachokifanya
kwaajili ya maaendeleo yake kimwili, kiakili na kiuchumi hata kiroho. Ndiyo
maana Biblia inatuonya kwamba TUSIUPENDE usingizi maana usingizi ni chanzo cha
Umaskini. “Usiache macho yako kupata usingizi, Wala kope za macho ysko kusinzia”
Ewe mvivu utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako? Bado kulalala
kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo umaskini wako huja kama
mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.” (Mithali 6:4;9-11)
Usingizi wa Wakristo ni ubinafsi walionao; kujiona wao pekee
ndiyo wanaostahili kuurithi uzima na wengine hawastaili wala hawatakiwi
kustahilishwa kupitia Toba. Wakristo wamelala na kujisahau katika ili
dimbwi la ubinafsi na kujivuna. Mkristo akimwona Mtua anatenda dhambi
basi humsema badala ya kumsaidia hii ni kinyume cha mapenzi ya Mungu. WOKOVU tumeupata bure na kwa neema tu tunapaswa kuutoa bure (Mathayo 10:8) “Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo;
mmepata bure, toeni bure”.. Ni kusudi la Mungu kwamba ulimwengu wote uokolewe na sio kuangamizwa.
Namshukuru Mungu kwaajili ya Neno lake hili linalowahusu
wakristo, Neno linalohusu maisha yao kwaujumla na jinsi wanavyopaswa kuenenda
ili wakawe ushuhuda kwa wengine. Katika sehemu ya ya kwanza ya Somo hili
tuliona mambo mengi ambayo Mungu anasema nasi na anatukumbusha kwanza ikiwa ni
kuhusu Upendo wa Mungu juu ya ulimwengu na huruma yake ambao haukuhesabu makosa
yetu bali katika wingi wa maovu yetu yeye alituhurumia na kumtoa mwanaye
mpendwa Yesu Kristo ili aje ulimwenguni na kuteswa na kufa kwaajili yetu, pia
nilizungumzia kuhusu maisha ya mkristo yanapaswa yamzalie Bwana matunda,
matunda hayo ikiwa ni pamoja na kuwafanya wale wasiokoka kuweza kuokoka na hapa
utakuwa umempendeza Mungu kwa sababu ndiyo kusudi la Yesu Kristo alipoujia
ulimwengu, alikuja kwaajili ya waliopotea awaokoe na kuwatoa kwenye vifungo vya
shetani.
Karibu tuendelee na sehemu hii ya pili ya somo hili, japo ni
vyema ukasoma na sehemu ya kwanza ya somo hili itakusaidia.
➻Wakati wa kuamka usingizini ndiyo sasa mkristo unapaswa kutambua Mungu anafanya kazi pamoja na wanadamu. Ndiyo maana Neno la Mungu linatuambia kwamba maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu. Kusudi la Mungu juu ya ulimwengu sio kuuhukumu ulimwengu bali ni kuuokoa anatamani katika siku ya mwisho, siku ya hukumu basi asilimia kubwa iwe ni ya wanaoelekea uzima wa milele. Yesu kristo aliwapa uwezo na mamlaka wale wakristo wa kwanza aliokuwa nao ili wakaiendeleze kazi aliyoianza ya kuhubiri abari njema za ufalme wa mbinguni, na kuwaponya walio wagonjwa na kuwafungua walio kwenye vifungo na kuwasaidia walio katika dhiki (Mathayo 10:1-16). Neno la Mungu linaonyesha nguvu waliopewa wale wanafunzi wa Yesu Kristo juu ya Pepo, na juu ya magonjwa.

➻ Mkristo wa sasa Mbona huyatendi haya? Je kuna wagonjwa wangapi
katiika eneo ulipo? Je kuna wangapi wanaosumbuliwa na pepo katika eneo ulipo?
Umechukua hatua gani ya kupambana na hali hiyo. Je! Uliwaombea au uliwapa
msaada wowote? Tambua leo kwamba ile mamlaka Yesu Kristo aliyowapa wanafunzi
wake ipo ndani yako wewe umwaminiye Kristo ni wajibu wako kusimama kwa uaminifu
katika maombi ili Mungu awezeshe kile alichokipanda ndani yako kifanye kazi.
Mathayo 10:8 “Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo;
mmepata bure, toeni bure”.
➻ Unapoitenda kazi ya Mungu kikamilifu basi unautimiza ule mpango
wa Mungu ndani yako juu ya ulimwengu na Mungu atakubariki maradufu. Kusudi la Mungu ni kila goti lipigwe mbele
zake na kila ulimi ukiri ya kwamba Mungu ndiye Mfalme juu ya Ulimwengu wote
(Ufu.5:13). Ni wajibu wako kutambua sasa unakitu ambacho Mungu anatamani
ukifanye popote ulipo kwaajili ya ufalme wa Mbinguni. Mkristo tambua ya kwamba
wewe ni balozi wa Ufalme wa Mbinguni hapa Duniani na umepewa mamlaka ya
kuyatenda mambo yote katika Jina la Yesu Kristo.

- Facebook like page hii Joyful House in Jesus Christ
- WhatsApp: 0752513159
Jumatatu, 16 Januari 2017
NI WAKATI WA KUAMKA TOKA USINGIZINI Vol...01
πΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊπΊ
MKRISTO AMKA USINGIZINI SASA!!!!!
MKRISTO AMKA USINGIZINI SASA!!!!!
⏩⏩⏩⏩Ahsante Ee Yesu Kristo Kwa NEEMA yako juu ya kila ambaye ni Mkristo anayesoma chapisho hili. Ee Baba Mungu mjazie neema ya kudumu katika pendo lako na kuyatenda yale yote yaliyo mapenzi yako. Ni kweli kwamba kuna wengine wengi ambao bado hawajakata shauri la kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yao lakini kupitia wapendwa hawa wachache; maisha yao yakawe mfano kwa wengine yakawe na ushawishi juu ya wengine ili wamkubali Yesu Kristo. Amen.⏪⏪⏪⏪⏪⏪⏪
⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬⏬
➤Mpendwa msomaji nakusalimu Katika jina La Bwana wetu Yesu Kristo!
Ni hakika kwamba asilimia kubwa ya WAKRISTO katika karne hii ni wakristo kwa kuzaliwa japo kuna wachache ambao ni wakristo kwa kukata shauri walikuwa sio wakristo lakini wamekubali kubatizwa na kuwa Wakristo. na ndio kusudi la Yesu Kristo la kuujia ulimwengu. alifanyika mwili na akakaa kwetu na alikubali kuteswa na kufa kwaajili ya ulimwengu wote ili kila aliyepotea apate wokovu. alisema mwenyewe kwamba amekuja kwaajili ya kile kilichopotea. amekuja kwaaajili ya yule asiyeokoka, hivyo ni furaha kuu mbinguni mwenye dhambi mmoja anapookoka. ni shangwe na furaha tele, pia ni huzuni kwa mwenye dhambi anapofariki.
➻Ni jukumu lako wewe unayemcha Mungu kuishi maisha yanayompendeza Mungu na yenye mfano kwa wengine. KILA MKRISTO NI MHUBIRI, tuna mhubiri Kristo kupitia matendo yetu. matendo yetu yanamchango wa zaidi ya asilimia 60 katika kkumbadilisha mtu wa imani nyingine. Mf. TUKIISHI MAISHA YA UPENDO- maisha ya upendo ni moja ya maisha ambayo mristo wa aina yeyote ile anapaswa kuyaishi. Ni kweli kwamba majirani aua rafiki yako anaweza kukukosea lakini kumbuka kwamba MUNGU tunaye mwamini na kumtegemea ni PENDO, yeye hakuhesabu maovu yetu tulimkosea sana, tulimkana lakini alituhurumia hata akamtoa mwanaye mpendwa afe kwaajili ya dhambi zetu.
➻Katika sehemu nyengine ya Biblia Yesu Kristo anatuita rafiki zake. Haijalishi ni uovu wa namna gani jirani yako amekutendea lakini unapaswa kumsamehe na kumtendea wema. Neno la Mungu linatuambia kwamba, Jirani yako akikukosea msamehe. lakini linatuambia kwamba mtendee wema jirani yako kwasababu unapofanya hivyo basi unampalia makaa ya mawe juu ya kichwa chake. kumpalia makaa ya mawe juu ya kichwa chake kuna maana hii: unampa uchungu na majuto juu ya kile kitendo ambacho amekutendea.
➻Maisha ya Mkristo yanapaswa yamzalie Mungu matunda. MUNGU hutupa mafanikio na maisha bora ili katika vitu vyote tumzalie matunda. Yohana (sura ya 15) anatuambia kwamba, Yesu Kristo amejiita yeye kama Mzabibu na sisi ni matawi, na kila tawi lisilo zaa basi Mungu ambaye ndiye mkulima basi hulikata. Ili Mungu afurahie maisha yako naakuzidishe katika kila unachokifanya basi unapaswa umzalie matunda. MATUNDA ANAYOHITAJI MUNGU, ni pamoja na wengine wasio mjua Mungu wamjfahamu kupitia wewe; kunena kwako , kutembea kwako hata maamuzi yako.
➻Kwa mali zako na akili pia vyote Mungu alivyokupa unapaswa umtumikie. Yesu Kristo anasema mwenye kanzu mbili umpe asiye nayo. pia mtu mhitaji anapokuja kwako akiwa na uhitaji umkopeshe au umpe basi kama unacho umpe usimwambie aende alafu arudi kesho. zidisha upendo wako kwa kila mmoja lia na anayelia, furahi na anayefurahi huo ndio upendo wa kweli na maisha ya Kikristo. kupitia kufanya hivyo basi utamshawishi yule aliyemtenda dhambi aokoke na kuiacha njia yake mbaya na utapata thawabu mbinguni.
➻Wewe uliye mhubiri huwezi kumhubiria mtu aache dhambi alafu wewe mwenyewe unatenda. kuwa wakwanza kuchukia uovu na kuuacha kabisa na hapo ata ukimwambia mwenye dhambi aache dhambi basi atakubali. pia msaidie kimwili pia usimwache ateseke hana chakula wakati wewe unacho. msaidie kwa kadri ya uwezo Mungu aliokujalia.
NB: Mkristo uliozaliwa katika ukristo, jiulize swali hili; kwanini yule asiye mkristo akiokoka anakuwa na bidiii sana ya kumtafuta Mungu na kiwango chake cha imani kinakuwa sana?
MUNGU AKUBARIKI KWA KUSOMA CHAPISHO HILI!!!!!!!
SHARE CHAPISHO HILI KWA WAKRISTO WENGI UWEZAVYO ILI MKRISTO AAMKE SASA NA KUJITAMBUA.
soma zaidi kwenye ukurasa huu.
christiansforum1.blogspot.com
pokeaeli.blogspot.com
facebook. Joyful house in Jesus Christ
WhatsApp: 0752513159
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)